LyricsHappy Birthday

0
You are viewing the article: LyricsHappy Birthday at greatestsonglyrics.com

(Wasafi) (Ah, ha-ha, Uprise Music, baby)

(Fragga has the recipe) Kwanza n′na furaha (n’na furaha) Nitaimba na kucheza (na kucheza) Washa mishumaa (mishumaa) Weka keki juu ya meza (juu ya meza) Oh, ila, usinicheke Nimekuletea zawadi kidogo n′lichobarikiwa (n’lichobarikiwa) Haki mwana mpweke Aje na dumu la maji, asije kakumwagia Ah-ah, na kapicha kako nitaka-post Was’okupenda itawa-cost Ah-ah, leo siku yako nishajikoki Tuko rafiki zako, tunasema “Happy birthday” Happy birthday to you Happy birthday Happy birthday (ah-ya-ya) to you Happy birthday Ah-ah, sinywagi pombe leo n′talewa (n′talewa) Niwape shombe wal’ochelewa (wal′ochelewa) Zikinipanda world nitapepewa (nitapepewa) Ah -ah, pembe la ng’ombe au malewa Ila usi-forgeti (kusema) Asante baba na mama wal′okukuza ukakua Tunakupa na keki (kwa wema) Akulinde Baba Maulana, twakuombea na dua Ah-ah, na kapicha kako nitaka-post Wasiokupenda itawa-cost Ah-ah, leo siku yako nishajikoki Tuko rafiki zako tunasema “Happy birthday” Happy birthday Happy birthday ersary H appy birthday (ah-ya-ya) to you Happy birthday Kata keki, kata (kata) Oh, kata (kata) Kata (kata) (Kata unilishe) keki ya jina lako (kata) Walishe na wenzako (kata) Tupo kwa ajili yako (kata) (Kata unilishe) Oh, basi kata (kata) Oh, kata (kata) Kata nikwone (kata) Kata (kata unilishe) (Kata) (Kata) (Kata) (Kata unilishe) Ah-ah, na kapicha kako nitaka-post

Related Posts

Hi, I’m greatestsonglyrics.com, a lyrics website that helps readers get essential lyrics information. We always provide the most complete and up-to-date news and share the best song lyrics. Thank you for reading this article.

See more new articles in category: Blogs
Leave a comment

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More